July 19, 2008

Machweo na uzuri wake nyasa

Jua lipo magharibi kabisa.Jioni njema na mapenzi mema kwa watu wote...karibuni nyasa

July 16, 2008

kumbukumbu unaionaje hii

ni vema kujivunza mengi lakini siyo kujua kila kitu unatakiwa kuwa bingwa wa ubunifu,mtumwa ndani ya jamii mapinduzi kila siku.Wewe ukipata mia moja,sifuri atapewa nani?...Kumbukumbu tu hii

July 15, 2008

ujumbe wa leo

'Utii bila uhuru ni utumwa'

July 14, 2008

uzuri wa nyasa?ngoja nikuambie

Tazama vizuri usije ukafikiria hapa ni peponi..natania lakini karibu nyasa

Kumbukumbu + Nyasa + Uzuri

Wapi pale,ni pwani ya mbamba bay au unaonaje mwenzangu.Tazama hii picha halafu ninong'oneze asisikie yule Yasinta wa Ughaibuni...itakuwa varangati...uatajuaje kama natania.Ni mbamba bay pwani ya ziwa nyasa

July 13, 2008

Asante Yasinta kwa kumbukumbu