
jamani wamatengo hamuyambuyambu? maana naona milima yenu imependeza kwelikweli, vipi mmeumbawenyewe nini? mimi leo nawaslimia tu hamuyambuyambu akina fulani huko Mbinga na kwingineko, mateka,kiyangamahuka,nyoni,ndengu na huko maguu?

karibuni nyasa, unajua wakati mwingine naishiwa maneno ya kusfia labda mna wivu mno hata nashindwa kusifia. kazi kwenu
hapa ni pale mtaa wa kanisa katoliki la Alois Gonzaga. Hayo ni baadhi ya maeneo yanayozunguka majengo yao watawa,nafikiri inapendeza sana
The 7 Day Theory= ni moja ya nadharia ya marehemu Tupac shakur ambaye alitutoka mnamo mwaka 1996 tarehe ya leo. Pamoja na mikogo ya hapa na pale hakika sijakusahau kwani naamini kama ulivyosema 'until the end of time' tutakukumbuka daima. Amina