September 16, 2008
THE BOOK OF LIES
Kimeandikwa na BRAD MELTZER. niliposoma utangulizi wa kitabu hiki awali nilidhani ni dhihaka tu,nikadhani ni ngebe za hapa na pale. Lakini nilipoendelea kusoma utangulizi huo wa kitabu chenyewe nikazidi kushtuka na kuona kama makengeza. Hebu soma maneno yaliyomo katika utangulizi........'Cain kills Abel in chapter Four of the bible. It is the world most famous murder. But the Bible is silent about obe key detail: the weapon Cain used to kill his brother. That weapons is still lost to history. In 1932, Mitchell Siegel was killed by three gunshots to his chest. While mouming,his son dreamed of a bulletproof man and created the world's greatest hero; Superman. And like Cain's murder weapon, the gun used in this unsolved murder has never been found. until now. Today in Fort Lauderdale, Florida. Cal Harper comes face to face with his family's greatest secret his long-lost father,who's been shot with a gun that trces back toMichel Siegel 1932 murder. But before Cal can ask a single question, a ruthless killer tattooed with the ancient marking of Cain attacks him andhis father"..... vyanzo ni jamaa wanaitwa Barnes and Noble. Nadhani umesoma mwenyewe, na pengine ulichoka na utunzi maridadi kama huu wa hoja...kazi kwenu
Madhumuni
falsafa,
kumbukumbu,
maisha,
mapenzi,
siasa
September 15, 2008
wamatengo hamuyambuyambu kanono?

jamani wamatengo hamuyambuyambu? maana naona milima yenu imependeza kwelikweli, vipi mmeumbawenyewe nini? mimi leo nawaslimia tu hamuyambuyambu akina fulani huko Mbinga na kwingineko, mateka,kiyangamahuka,nyoni,ndengu na huko maguu?
Madhumuni
kumbukumbu,
uzuri,
wageni
September 14, 2008
homba,nchomba,somba= samaki
nakupenda nyasa yangu.....upendo wa dhati
karibuni nyasa, unajua wakati mwingine naishiwa maneno ya kusfia labda mna wivu mno hata nashindwa kusifia. kazi kwenu
Madhumuni
kumbukumbu,
maisha,
ng'ombo,
Nyasa,
soga
pale Mbinga mtaa gani?
hapa ni pale mtaa wa kanisa katoliki la Alois Gonzaga. Hayo ni baadhi ya maeneo yanayozunguka majengo yao watawa,nafikiri inapendeza sana
Madhumuni
kumbukumbu,
maisha,
mapenzi,
mila na desturi
uzuri,utulivu na mahanjamu ya nyasa
Madhumuni
amani na upendo,
Hisia za moyo,
maisha,
urafiki,
uzuri,
wageni
hata hivi pia inawezekana
Madhumuni
kumbukumbu,
ng'ombo,
Nyasa,
zana
September 13, 2008
mungu akulaze mahali pema
The 7 Day Theory= ni moja ya nadharia ya marehemu Tupac shakur ambaye alitutoka mnamo mwaka 1996 tarehe ya leo. Pamoja na mikogo ya hapa na pale hakika sijakusahau kwani naamini kama ulivyosema 'until the end of time' tutakukumbuka daima. Amina
Madhumuni
burudani,
habari,
Hisia za moyo,
kumbukumbu,
maisha,
urafiki
Erick hebu nicheki mnyasa kwanza
Madhumuni
burudani,
kumbukumbu,
soga,
ughaibuni
wanyasa hamniamini......simwogopi Yasinta
bado nawakilisha tu
Madhumuni
kumbukumbu,
soga,
uzuri,
wageni
Nawakilisha wanyasa
hakika nimedhamiria kumpiku kabisa Haile Gabrisellasie, yaani huyu na uzee wote ule. nawakilisha maofisni mpaka kwenye mageto, nawakilisha vyumbani,sebuleni mpaka kula kitoweo cha samaki. Hii kwa wote mlio na nia tutashinda London 2010 kwani Kikwete kasema sasa anashughulika na riadha. Tazama msuli huo
Madhumuni
habari,
Hisia za moyo,
ughaibuni,
urafiki,
wageni
Subscribe to:
Posts (Atom)

