September 21, 2008
haswaaaa na mchana kama huu njaa
Madhumuni
amani na upendo,
mengineyo,
mtupale,
zana
hapo vipi? hapo sawa? mimi sijui
naam ni masika katika barabara za kwenda ghuba tamu sana ya Mbamba bay. hivi unajua kila nikikanyaga mbamba bay najihisi kuzaliwa upya? kwanini-kwasababu ya sababu na nakupenda sana
Madhumuni
habari,
Hisia za moyo,
lundo,
maisha,
mbamba bay,
Nyasa,
urafiki,
wageni
haaa haaa haaaa sicheki nafurahia ngoma
angalia uone utamu wa kupenda utamaduni wako, si unaona ilivyo na raha? kazi kweu msiopenda utamaduni mtamu kama wa kiafrika.
Madhumuni
kumbukumbu,
kwambe,
Liwazo,
soga
September 16, 2008
THE BOOK OF LIES
Kimeandikwa na BRAD MELTZER. niliposoma utangulizi wa kitabu hiki awali nilidhani ni dhihaka tu,nikadhani ni ngebe za hapa na pale. Lakini nilipoendelea kusoma utangulizi huo wa kitabu chenyewe nikazidi kushtuka na kuona kama makengeza. Hebu soma maneno yaliyomo katika utangulizi........'Cain kills Abel in chapter Four of the bible. It is the world most famous murder. But the Bible is silent about obe key detail: the weapon Cain used to kill his brother. That weapons is still lost to history. In 1932, Mitchell Siegel was killed by three gunshots to his chest. While mouming,his son dreamed of a bulletproof man and created the world's greatest hero; Superman. And like Cain's murder weapon, the gun used in this unsolved murder has never been found. until now. Today in Fort Lauderdale, Florida. Cal Harper comes face to face with his family's greatest secret his long-lost father,who's been shot with a gun that trces back toMichel Siegel 1932 murder. But before Cal can ask a single question, a ruthless killer tattooed with the ancient marking of Cain attacks him andhis father"..... vyanzo ni jamaa wanaitwa Barnes and Noble. Nadhani umesoma mwenyewe, na pengine ulichoka na utunzi maridadi kama huu wa hoja...kazi kwenu
Madhumuni
falsafa,
kumbukumbu,
maisha,
mapenzi,
siasa
September 15, 2008
wamatengo hamuyambuyambu kanono?

jamani wamatengo hamuyambuyambu? maana naona milima yenu imependeza kwelikweli, vipi mmeumbawenyewe nini? mimi leo nawaslimia tu hamuyambuyambu akina fulani huko Mbinga na kwingineko, mateka,kiyangamahuka,nyoni,ndengu na huko maguu?
Madhumuni
kumbukumbu,
uzuri,
wageni
Subscribe to:
Posts (Atom)