November 05, 2008

unakula, ulamba, unamung'unya, unadokoa=utamu tu

ukiwa na njaa sana usiibe wala usidokoe sema tukugawie. huyu maarufu kama LINGOVA samaki wanaopatikana zaidi wakati wa masika. watamu sana

Lini mliacha ubaguzi nawashangaa sana

acha niwashangae sana kwa kumchagua huyu jamaa ambaye mnadai waafrika hawana lolote? au kwakuwa mlimsomesha wenyewe? ninyi waafrika huku mnashangilia kuwazidi wamarekani nawashangaa sana? huyu atakuja kuwafundisha kuandika hotuba za Marais wenu? atawafundisha kuhusu kuwajibika na kushtaki wevi? Je unaposhangilia kumzidi Mmarekani mwenyewe unamaana gani??? poa lakini YES WE CAN, CHANGE HAS COME IN AMERICA. hONGEREA sana ewe mwana wa mvuta tumbaku wa KISUMU i love u so much my brother maana ile kujiamini kwako kumenipa somo kali au vipi Obama mwanawane
PAMOJA DAIMA

kunoga tu

November 01, 2008

mto ruvuma unaotenganisha TZ na Msumbiji

hapo sawa tu. KARIBUNI RUVUMA, WEKEZA UFAIDIKE SASA.

kama hujui njaa usile leo na kesho= milele

kilimo cha mpunga wala hatushindwi
WEKEZA RUVUMA ILI UFAIDIKE
karibuni nyasa