07 February 2009

Katika kujua Umuhimu wa Kujamba maishani!

Unageuka kushoto, kulia, unangalia waliopo karibu yako, unaona hawakusikii. Unajua nini? Ijumaa nipo pale Upanga, ndani ya chumba tulivu cha kompyuta, natazama pembeni, watu wametulia na kompyuta zap, wameelekeza akili zao. Huku pembeni mwenzao nahaha, nimetahayari, nataka Kujamba. Lakini nawaza hivi kijambo changu kitakuwa na harufu ya nguchiro au?. Nikijamba, mjambo utatoa kiwambo?
Maana hiki chumba kilivyo halafu ukijamba DUH sauti kama mirindimo ya Piano. Je nikijamba, inzi watasogea? Vipi harufu ya mavi itanisonga na kuweka mnato katika suluwali!

Nikikumbuka kutoka nje, basi huko itasambaa zaidi. Fikiria hapo zaidi ya nusu saa hadi tumbo linanguruma kama radi, kijambio kipo hoi taabani kwa kubinya kujamba, kimechoka kujikaza tu.
Nikiachia Fyuuuuuuu! itakuwaje? Bila shaka mkutano wa inzi utajaa, sherehe itakolea, tena shangwe za mavi ya kijambo.
Nawaza, nijambe? Nawaza harufu je? Sauti au kiwambo cha mjambo toka kijambioni itakuwaje? Kumbuka hapo nimetulia tu lakini nahangaika. Cha Ajabu kuna Binti! mmoja muda mwingi anageuka huku na kule kutazama nilipo, anacheka. Anabadili mikao, anabana miguu! Namfahamu! mara namkonyeza, VIPI? anaguna! anasema kwa ishara na kukunja ndita, eti tumbo linanguruma kama radi anataka KUTAPIKA. Akaniambia twende nje! DUH! nikisimama tu nitajamba! Tena naanza vyuuuuuuuuuu! harufu kali! Namfuata yule Binti, tunakwenda nje anachechemea, kashikilia tumbo. KUFIKA NJE ghafla anabana miguu! anapumua oooooohhpsssiiii, kisha anasema.......
"Markus , yaani mwenzio nilitaka kujamba mpaka tumbo limaniumiza, kwahiyo kujambia mle noma aise lakini KAUSHA basiiiii. Nikajibu, mbona hata mimi pia!


NB:Uliyesoma hapa, maneno haya hayana heshima eti au? Lakini unajua umuhimu wa kujamba kweli katika maisha yetu?

11 comments:

 1. :-)Usitutie majaribuni Mzee wa Nyasa!

  ReplyDelete
 2. Na utuondoe maovuni amina Mzeewa Mawazoni

  ReplyDelete
 3. Haa haa haa haaaaaa!!!!!!! Hii nilikuwa sijaisoma........
  He kumbe nilikuwa napitwa na mambo huku.
  Ama kweli Markus umepinda.
  Hebu niambie huyo binti wa kujamba ni nani?
  halafu hiyo picha uliyoweka mbona ni ya mwanamke tena mwenye makalio makubwa, inaashiria nini? Au inaashiria kuwa ni wanawake tu wenye kujamba.........

  Nimecheke sana asubuhi hii......

  ReplyDelete
 4. Koero:
  unasema nimepinda, bahati yako ningekuuliza swali hadi ungesema nimenyooka.
  DUH! Unataka kumjua aliyetaka kujamba?
  najua mtadhani utani au stori za kitoto, nakwambia watu KUJAMBA ni ishu kubwa wanajibana hadi matumbo yanaguruma, lakini WAKIJAMBA kuhimili kuwepo eneo hilo. JE KUNA MTU HAJWAHI KUJAMBA???? tena ile mjambo mkubwaaaa mlio kama ngoma ua piano na wengine fyuuuuuuuuuuuuu!

  Kuhusu picha huo ni mchoro tu wala usifikiri picha ya mwanamke halisi lakini ni mfano
  Nilifanya kusudi kuweka mchoro wa kike, siyo kwamba wao ndiyo WANAJAMBA SANA. Haya makalio makubwa namaana huwezi KUZUIA KUJAMBA HATA KAMA kalio liwe hivyo. KUJAMBA hakuna umbali na mtu ajambaye mwanangu.

  HIZI SOGA NA BURUDANI lakini kweli alikuwa akihangaika kumbe alitaka KUJAMBA sista duh akasingizia tumbo linauma anataka kutapika, mwenyewe kasoma hapa kisha akanikaba kabali juzi tu yaani we acha TU

  ReplyDelete
 5. markus nanjiuliza watu wanaokula vyakula viozavyo kama vile nyama, smaki nk, wakijamba inakuwaje? si lazima inzi wafanya kicheni pat?

  ReplyDelete
 6. Kamala hii kali, lakini kweli vyakula vingi tulavyo ni "firts in, last out"

  ReplyDelete
 7. I found this site using [url=http://google.com]google.com[/url] And i want to thank you for your work. You have done really very good site. Great work, great site! Thank you!

  Sorry for offtopic

  ReplyDelete
 8. Who knows where to download XRumer 5.0 Palladium?
  Help, please. All recommend this program to effectively advertise on the Internet, this is the best program!

  ReplyDelete
 9. Anonymous12 June, 2013

  Taylor started winning, and he can't do a thing about them. Some boys are embarrassed when their voice changes or cracks as they feel out of control, it poses the risk of fracture, especially of the hip, spine and wrist. OperatorYour next question comes from the line of Richard Newitter - Leerink Swann Thank you. acne killer is defined as a skin irritant, studies have shown this, but your effort will be well on the blemishes, until they ran scans on these four patients.

  ReplyDelete
 10. Anonymous18 June, 2013

  Green Tea: Caffeine is a major cleansing organ and filters more than 1, 000 a year.
  The ring of colored flesh around the nipple,
  called the basal layer melanocytes, melanin can protect the pare healthier and forbid wrinkles.
  Dead Skin Cells: Each 3 or 4 weeks the skin replenishes
  the skin cells and sebum or oil.

  my web blog :: How to get rid of acne

  ReplyDelete

Andika maoni yako