28 March 2009

CHUPI: Nani alianza kuivaa?

Nimekaa na jamaa tunawatazama watu wakifurahia yao bahari, wakijimwaga majini kwa taha zao, wengine ndiyo wale wapendanao, wamekaa mikao ya kuwaniana. Wamekaa mikao ya kutakana na kupeana hamu. Lakini swali moja ninajiuliza inakuwaje mtu wangu hatujimwagi kama wao?
Lakini natamani kujimwaga majini ili nami niwe kati yao lakini mbona sipo kama wao maana wamejigawa wawili wawili halafu miye na mshikaji tupo 'kiugumu'. Lakini ugumu mwingine wa ajabu sana.

Sasa nawaza sana hivi CHUPI alianza kuvaa nani? Natafakari nawaona mabinti na wavulana huku wanawake na wanaume wamevaa CHUPI/VYUPI. Mimi nawaza tu najua nina CHUPI moja halafu namuuliza jirani kidogo kwamba umewahiku kuulizwa swali la kijinga? jamaa anacheka ghafla anakuja HANII wake bwana anasaula nguo anabaki na CHUPI namtazama hadi nahisi mate fulani yenye majimaji laini yaashiriayo kunogea kitu. si mnakumbuka KIONJEO jamani.

Inabidi ageuke na kunisalimia yule binti halafu anauliza mko wote shem? Najibu kama binadamu tuko wote ila kihisia na mawazi ya mazingira haya hatupo sawa maana wewe ushafika sasa! Jamaa anashangaa halafu anakumbusha vipi swali lako? Namwuliza hivi NANI ALIANZA KUVAA CHUPI? Nauliza tena je ADAM na EVA waliwahi kuvaa CHUPI? mbona picha zao zinaonyesha wamefunga misuli tu, vipi mle ndani nao walikuwa wanavaa CHUPI kama sisi au huyo shem hapo? au zile CHUPI zenye kamba moja ipitayo katikatu ya milima miwili ya nyuma yetu?

Binti akashangaa, nikamwuliza hujawahi kuvaa CHUPI? nauuliza huku naona kavaa lakini pengine siyo chupi ni bukta tu. Hata hivyo lengo langu ni kujiuliza nani aligundua utengenezaji wa CHUPI? wala sitaki kuingia mtandaoni ila nawaza mwenyewe tu ni kwanini aliona CHUPI ni kitu muhimu? Sijui labda nimechanganyikiwa! Eeeeeh ngoja nikomee hapa bwana mmmmhhhh Waone hao jamaa pichani na chupi zao

4 comments:

 1. rafiki yako Muhimu ni chupi ndiye anayekustiri majasho, ushuzi, na maji maji yote. rafiki mzuri huyu ehe?

  sijui zamaniilikuwaje na labda aibu haikuwepo jamaa lilipogangamara na kupiga pushapu mbele ya kadamnasi

  ReplyDelete
 2. eeh mnyasa umerudi ulipotea kweli karibu tena. Chupi alianza kuvaa aliyeanza. Kwali wamwene:-)

  ReplyDelete
 3. Markus habari za lihengu,

  Ndio umerudi kwa staili ya chupi?
  Karibu tena kaka yangu niliku miss

  ReplyDelete
 4. WEWE UMEPINDA DUUUUUUUUUUUUUUUUU CHUPI WA 1 KUVAAAAAAAAAAAA NI DEM eva kwani ni wanavuja na kutoa maji jajajajajajajaj jajajajaj hahahahahahahahahahah mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

  ReplyDelete

Andika maoni yako