06 March 2009

Uzuri, Urembo au?


Nikiwa napitia habari za mtandaoni, kwa fundo la hasira kuona majitu toka afrika maghribi yanataka kuniibia kweupe, lakini yote tisa - kumi Mrembo huyu alikikuna kinoma yaani hadi sijisikii kuwasha tena. Nimependa sana urembo wake ingawa najua unahitaji uvumilivu

7 comments:

 1. ukitaka kupendeza lazima kuvumilia. hapo amevumilia sijui kama alipata ganzi maana mmh, binafsi kama mpendwa mama yangu asingenitoboa masikio yangu nilipokuwa mchanga sijui kama ningetoba ukubwani. Maani mmh maumivu hayo si mchezo. Hayo ni maneno yangu

  ReplyDelete
 2. KAKA huu ni utamaduni wa kiiafrika
  tunaenzi mila na desturi zetu.Hii ni hatua moja wapo muhimu baada ya jando.Mwanamke ambaye amepitia hatua hizi huheshimika sana katika jamii tofauti na wasichana wa leo.

  amani kaka.

  www.ringojr.wordpress.com.

  N.B samahani,naona ingekuwa vema zaidi tuanzishe mwamko wa kuifufua
  JUMUWATA.

  ReplyDelete
 3. Ee bwana una namba ya simu ya huyu kimwana MWANANA uniunganishie?:-)

  Tuko pamoja!

  ReplyDelete
 4. Kaka naomba upite pale kwangu, utupe maoni yako kuhusu namna ya kuiboresha jumuiya yetu.

  ReplyDelete
 5. samahani fungua kurasa ya kuchangia mawazo kuhusu jumuiya ya wanablogu tanzania.

  http://blogutanzania.blogspot.com/

  www.ringojr.wordpress.com

  ReplyDelete
 6. Hakika huyu ni mrembo maridhawa!!!!!

  ReplyDelete
 7. Kapendeza sana,hii picha inaweza hata kushinda National Geographic competition. Umeipiga vizuri sana uka-capture hisia ya huyu dada,nimeipenda sana. Blog yako nzuri.

  ReplyDelete

Andika maoni yako