26 April 2009

Nawapenda mkiwa kama hivi

Picha ka hisani ya watu fulani hivi ambao wanapenda kujuza wenzao mambo mazuri kama hivi. nawapenda mkiwa na mavazi kama haya, lakini hata mengine ilimradi hayaonyeshi mtikisiko wa matako kwa nyuma na zile nguzo zetu za kwanza kuvaliwa na za mwisho kuvuliwa. labada cha zaidi nawaza ni nani ataweza kufanya hivi katka jamii zetu za sasa????

No comments:

Post a Comment

Andika maoni yako