18 June 2009

Suala la Miguu Ya Koero!!!!!!

Wakati ninasoma kitabu cha DEBBIE DAVIS mwanamama mtaalamu wa masuala ya mapenzi nilikutana na suala la kuvutiwa na kiungo fulani cha mwili wa jisia nyingine. Nakumbuka rafiki yangu mmoja aliwahi kuniuliza ni kiungo gani katika mwili wa mwanamke nakipenda zaidi? Swali lake lilinikumbusha hoja ya baba yangu kuwa katika mwili wa mwanadamu hakuna kiungo kisichotegemea kingine.

Kwahiyo iwapo mwanaume anavutiwa na mguu wa mwanamke basi ni jambo la kujiuliza kwa makini. Basi miye nikatafuta picha nzuri yenye mguu ambao unaweza kuwakilisha maoni ya Debbie Davis. Lakini nikakumbuka picha hii hapo juu niliyopiga wakati najiaandaa kushinda na USAIN BOLT yule mkali wa mbio wa kule jamaika huku nikishindana na dada Yasinta katika kuwakilisha.
Pamoja na haoyo naona hoja yangu imehama kwakuwa kuna mguu unofanana na wa Koero, ila sijajua ni Koero yupi mnayemzungumzia hapa.

Sasa wakati najaribu kutafakari nikaona hebu niikumbuke hile picha yangu ambayo nilipiga mwezi januari, ili nione penine miguu yangu inafanana na nani sijui. Hivi kumbe kuna akina Koero wenye miguu ambayo inaweza kukufanya ukataka tu kujivinjari bila kupenda na kionjeo kikawa kinahangaika kukupa utamu na marudi yake ni makini na sahihi kuliko kwanza? Duh! nawaza tu, nakubali sana maoni ya kaka Simon Mkodo Kitururu maana najua nini alichomaanisha lakini usije ukaelewa sana kwani utamuia kichwa msomaji bureeeeee!

NAM nimewakilisha miguu yangu hapo, je inaweza kuwa tiketi ya kunogewa au? Maana kuna jinga moja hapa mtaani linatazama miguu yangu utadhani mishikaki, utadhani linataka kunimeza, lakini likubwa tena la mtu, na pete kidoleni.
Je suala la Miguu ya Koero na miguu ya wakware inatofauti na watazamaji wasiopenda kutekenya ukubwa wa ugali???????

3 comments:

Andika maoni yako