22 August 2009

STANSLAUS KIGOSI yupo Songea leo!


Yupo Songea, anavinjatri hapa pale, nadhani unajua mambo ya kusafiri huongeza maarifa. Yupo Songea Leo Rafiki yangu huyu! kama unakumbuka msomaji niliandika kuhusu ndoto zake za kuwa CHACHAGE S. CHACHAGE. haya yupo hapa Songea anaburidika mambo mbalimbali. nadhani hata Ruhuwiko atatembelea, hata hivyo siku siyo nyingi naye ataingia NDANI katika Blogu, nadhani mtamkaribisha..... akiwa tayari atawaeleza mwenyewe!
Msomaji, jana nilikuwa na kaka Shaban Kaluse, tukapiga gumzo kidogo na mseto wa majadiliano kuhusu blogu zetu yuko poa sana! MWISHO WAJUMA MWEMA

2 comments:

  1. Uwe na muda mzuri huko Songea Stan nakuonea WIVU sana kwani ni kunyumba na najua Markus amefanya hivi ili kuninogesa nene haya mlongo na chilawu mewawa!!!

    ReplyDelete

Andika maoni yako