15 August 2009

Watu wa Pwani Bwana!!!!!

Watu bwana cheki madume yalivyojipara, mauno kama dondora, dume zima shanga kiunoni. Eti guu la kushoto lavishwa cheni aaaah! kina dada chuchu njenje zote wanapenda. Chuchu wakipiga mbele na njenje wakipiga nyuma kote wanakwenda haina noma ilmardi waseme tu we choko utakulaaaaa eeeeh nitakula nikishiba nitalalaaaaaa.

Pwani bwana jioni watu wameketi jamvini mawazo chooni hawana soni wala haya, wao wanawaza na kuwazua kama walivyoparamia kuona ndogo kama nayo inaliwa bila kujali ni haramu eti nayo ni uvunguni au uvungu. lakini ukiwauliza swali kwanini mwakula haramu???

JAWABU LAO: VINGAPI NI HARAMU LAKINI VINALIWA?

watu wa pwani mimi sina maneno kwani nawatazama tu kama fungamaneno eeeehh usije ukaumia mbavu bureeeeeee maana hawajui umuhimu wa kujua kionjeo cha ndogo na kubwa ni hamu ya kama vile unafanya hadidu rejea.

No comments:

Post a Comment

Andika maoni yako