Nilikuwa nangojea waungwana mjitahidi kufunua bongo zenu, nilidhani kwa wanazuoni kama ninyi lazima jawabu lipatikane ..... lakini wapi bwana, maji yamezidi unga..... yaani tatu bila, tatu bila. Haya basi nimekuja na chakula hiki sijui tutashiba maana samaki mmoja, kwahiyo kula ni kula mbaya kukoimba mboga jamani. Karibuni mkekani, mlozowea mezani msahau kwa leo.February 16, 2009
Kitendawili kimewashinda? Karibuni tule basi!
Nilikuwa nangojea waungwana mjitahidi kufunua bongo zenu, nilidhani kwa wanazuoni kama ninyi lazima jawabu lipatikane ..... lakini wapi bwana, maji yamezidi unga..... yaani tatu bila, tatu bila. Haya basi nimekuja na chakula hiki sijui tutashiba maana samaki mmoja, kwahiyo kula ni kula mbaya kukoimba mboga jamani. Karibuni mkekani, mlozowea mezani msahau kwa leo.
Madhumuni
falsafa,
kumbukumbu,
mila na desturi,
Nyasa,
urafiki,
wageni
February 11, 2009
Shindano! KITENDAWILI........
KITENDAWILI........................................., "Ni CHEUPE kama barafu na ni CHEUSI kama giza, KULIWA ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi 5 na kinaanza na herfi M.
Kinatumiwa na WANAWAKE mara moja katika UMRI wao, na kinatumiwa na WANAUME mara tatu kwa siku.
Je, ni kitu gani hicho? Ukipata jawabu lake.
NB: ZAWADI NONO kwa mshindi
Kinatumiwa na WANAWAKE mara moja katika UMRI wao, na kinatumiwa na WANAUME mara tatu kwa siku.
Je, ni kitu gani hicho? Ukipata jawabu lake.
NB: ZAWADI NONO kwa mshindi
Hakuna kulala hapa
Vipi, unaonaje ukijiunga nao! Unaweza kweli mauno ya viuno kama Fifimoto wa Enomizizi au wewe ni laini yaani nyororo! Utaweza wewe mtoto wa geti kali mambo haya? Mtoto umekulia wapi kama siyo ndani kutazama kideo na propaganda za seleka za walami ughaibuni.Nakumbusha umuhimuwa kunengua mitindo ya kwetu, hakuna kulala aiseh
Madhumuni
burudani,
kumbukumbu,
mapumziko,
soga
Subscribe to:
Posts (Atom)