nimezaliwa na kuklia ukanda wa ziwa nyasa. ukiniambia mwamboa huo ni wapi sijawahi kufika toka Itungi pale bandarini Kyela hadi mwisho wa kijiji kuingi Msumbiji katika pale Chiwindi. Lakini yote hayo huyu mnyama sijawahi kumwona, zaidi nilichoona ni sehemu tu aliyokanyanga au kuona pua yake kwa mbaliiiiii akiwa majini, lakini nasikitka sijawahi kumwona.
lakini najivuni kuwa mnyasa jamani, karibuni
