
Nina raha isiyokifani, labda kaka Fadhi nipe masjhairi nighni, au Godwin nipe fani na maudhui. Nirudi wapi tena au kwa mtakatifu.... na pia niende wapi kwa wa panyumba wenga huko ughaibuni...ulama? Niende wapi Fadhi nipe jiji nilipendalo la Mbeya?
WAJUA NIMEIBUKIA WAPI. Nipo mji niupendao wa Mbeya waungwa, nipo najivinjari mitaani toak jana hapa raha sana.
Nawakaribisha nyasa kwani nadhani jumapili nitakwenda kueogelea ziwani kyela, yaani we acha tu KARIBUNI MBEYA KARIBUNI NYASA