18 February 2010

PUNYETO!!!!????

Hakika Nakwambiya,
Moyoni kusikitikiya,
Mawazo ya Duniya,
Punyeto Niwaziya,

Rafiki yangu sikiya,
Punyeto sitofanyiya
Katu kwangu sitofagiliya
Uchafu sitoridya
Zamani nilifanyiya
Enzi za sekondari furahiya,

Sasa sitaki binti chunguliya
Siyo sababu punyeto jipigiya
Asilani sikitikiya,
Waumwa kuchunguliya
Sinalo punyeto muda jipigiya,
Uchafu jifurahiya,
Nakacha mabinti, maisha jipiganiya,
Punyeto nalichukiya
Katu sitojipigiya,

Rafiki wanikwaziya,
Binti naweza shughulikiya,
Sitaki shida jitafutiya,
Ngono sijafurahiya,
Ng'atuka, rafiki pitiya,

U mvivu kujisomeya,
wawaza ngono jirufahiya,
shahawa jimwagia,
Asilani punyeto jigiya,
Utulivu nimeamuwa
Ngono sitoshabikiya


NB; unaelewa? Siyo kila asiyependa kuchungulia uvunguni anapiga PUNYETO!

6 comments:

 1. Iwe unichangalile,
  Nenolo ulisemale,
  Maana mambo yale,
  Hupenda vijana wale,
  Tena waloko shule.

  Hamu ikushikale,
  Humpati manzi yule,
  Akili ikurukale,
  Kichwani picha uijengale,
  Upepo wa chini ya mvule.

  ReplyDelete
 2. Jamani kaka Markus hii kali!!haya weeee!

  ReplyDelete
 3. Nasikia lakini Punyeto ni kinga NZURI tu ya UKIMWI na ni msaada sana katika mazoezi ya UPADRE na USISTA kama halihalisi imefikia kuwa ukiguswa tu NJEMBA/Kigoli wapata mfadhaiko.

  ReplyDelete
 4. Na sijui ni hakika u nakisia maana siku hizi watu wananyege kama ajenda ya kwanza halafu wanajipa nafasi ya kusema wanapenda demu/njemba

  Na kweli madaktari wanasema ni TIBA lakini inashngaza kuamini kuwa kila asiyechungulia uvunguni hupiga punyeto.

  Inashangaza kudhani ngono ni toleo la kwanza kimkakati wakati unapokufa huna mkakati wa kufnya ngono. Sasa muhimu ni ngono au uhai? lakini kumbuka ngono ni sehemu ya uhai! Je hatuwezio kuishi bila ngono?

  ReplyDelete
 5. Safi kabisa Markus! Nimependa shairi hili lenye mafunzo. Safi kabisaaa!

  ReplyDelete

Maoni yako