23 March 2010

DA' YASINTA NIKUNOGISI KWELI KWELI


Najua hapo ulipo dada Yasinta mate yanakutoka kwa hamu ya hii ngoma, Lol..... hivi mwaka jana uliona kweli hii ngoma? Mmmh na sindimaba je uliona?
Utajijuuuuuu dadangu, leo asubuhi nimeamua kukuwekea wewe yaani maalumu kwako hebu angalia hii ngoma.

Kwali wamwene, ha ha ha ha ha msalimie Matetereka, Lol.......

1 comment:

  1. Linda nihakai hoti. ha ha ha ha ha yaani nihekeli mpaka makocho, ngóma zoha nizilolili na kukina ngati chihoda, lizombi, beta, chomanga, mganda wene huu. Ila hata naha najiva Usengwili kwani unikumbushi kunyumba.

    ReplyDelete

Maoni yako