22 April 2010

MZUZU UNIVERSITY, na KONA ZINGINE

Hivi punde NIKAJIFOTOA nikijaribu kusoma Ruhuwiko, Wangoni, Vukani,Changamoto, Chakula Kitamu, Hapa Kwetu, Mtakatifu Kitururu- nakukosa sana Bro katika falsafa wewe ni bingwa wa mabingwa wa kublogu ndiyo maana ulipewa uenyekiti wa Wanablogu kaka. Kaka Kaluse,Jabali Kamala nipe jibu ROHO NI KITU GANI kaka...... Lol, Jacob Malihoja nipo kwa akina ABWANJI ABWANJI, naitafuta Chipita Forums huku Malawi Kaskazini, lakini ninahakika nitatua Kondanani Center.
Nipo sana waungwana, ila nipo sipo Bongo. Unajua nini mdau wangu? Wengine tumezoea mambo ya kinymela kwahiyo usiwaambie uhamiaji, au vipi. Lakini dada Yasinta ubudili.....Lol... siyo vidongo, sipo Bongo bali Mulibwanji
Nawakosa, nitawakosa kidogo kwa mwendo wa Karatasi au kinyonga NITASONGA. Jumamosi NIPO BONGO..... wape salamu watu wangu

4 comments:

 1. nibuduli ha ahaaha ni vidongo bwana ok nallongeza kaya wanjatu?

  ReplyDelete
 2. Watani zangu bwana....mmezamia meli sasa mko Malawi...ayayayayayaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 3. Watani zangu bwana....mmezamia meli sasa mko Malawi...ayayayayayaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 4. Kaka Fadhy we acha tu, si unajua zile tripu za kuvuka pale boda ya Kyela mwanangu hata askari hawajajipindua ubavu mzee nishavuka. Usisahau wale wauza sukari wanaovusha kwa njia za panya. Sasa si unajua nami NIMO katika safari za NZIGE hata INZI tumooooooooooooooooooooo

  ReplyDelete

Andika maoni yako