31 August 2010

Ni MIMI na WEWE??

Nani atayalinda maisha yako ewe mwanadamu? Nani anajali maisha ya mwingine? Ni mara ngapi umejali maisha ya wengine?? Je ni mimi na wewe tunaohusika na UNYAMA HUU????

2 comments:

  1. Mwanadamu anaonekana ana sura nzuri rakini huwezi kujua anaweza nini ndani ya roho yake. Yaani haswa anampiga binadamu mwenzake kama alikuwa nyoka na kuhakikisha hawezi kusimama tena. Hata ule UNYAMA umepita kisi.

    ReplyDelete
  2. Markus, haya mambo mpaka sasa hayaeleweki. Unaweza ukatusaidia kufikisha ujumbe ufuatao (makala kuhusu kujichukulia sheria mikononi):

    http://vijana.fm/2010/08/20/huu-ni-ufedhuli/

    Shukrani.

    ReplyDelete

Andika maoni yako