Ninachoajaribu kwa taswira ya ukahaba, bali mambo mengi ya utalii na mikutano mbalimbali.
Masuala ya kibiashara na mengineyo.
Lakini hili kwangu siyo geni ila sikuwahi kujikita kulijua zaidi kama nilivyojikita sasa, natambua jirani zangu pale flats za mtaa wa Ohio wanaelewa kinachojiri au wale washkaji wa Undali mitaa ya mahakama ya ardhi wanajua ninachoongelea hapa.
Nashukuru maoni ya wasoamji lakini nasema hivi jamani haya ni matokeo ya tatizo na aidha kifamilia au mfumo mzima wa maisha ya jamii yetu. Mfumo wa jamii yetu ninamaana kwamba kutokana na muundo wetu wa kuihsi na kujichagulia viongozi.
Najua ukahaba haupo hapa pekee, na bahati mbaya dakika chache zijazo narejea nyumbani. Sasa nimeongea na wengi sana hadi nikaambiwa 'MARKUS UNAPENDA SANA NGONO' lakini hapa unajivunga tu. Jawabu langu ni ndiyo napenda kupindukia lakini je siwezi kuwa na SPIDI GAVANA?
Haya wanasema ni biashara mbaya ya ukahaba lakini inarahisha kwani unapata wateja kwa uhakika zaidi kutokana na kuingia kwa wageni na kutoka kwao, na wahitaji ni wengi katika miaka ya karibuni toka wenye wake zao au wanawake walioolewa kwani wapo wanaume wanaowastarehesha wanawake ambao wengine wamekuja huku kuwakuna wanawake wazima na akili zao tena wake za watu wanaheshimika katika maofisi ya umma nchini.
sasa hawa wanasema maisha yanabadilika na biashara ya ukahaba inashamiri kwakuwa wimbi la wanaume kuhitaji huduma hiyo kwani wanaume wengi sasa wapo wasiohitaji kuwa na wanawake wa kudumu hivyo kuhitaji huduma hii ya ukahaba. Sasa sijui wewe unasemaje muungwana kama unaambiwa ni biashara mabaya lakini inarahisisha maisha yao.......
