April 21, 2010

NIPO BONGO, SIPO BONGO

Kwakuwa maisha ni harakati , na wakati mwingine inakuwa ngumu kujiuliza kwanini ni harakati basi hata harakati zenyewe zinaweza kuhamia mazingira mengine mfano kata, tarafa,wilaya,mkoa,manispaa na jiji. Na pengine nchi nyingine. NIPO BONGO AU SIPO BONGO= Nipo kando ya Blogu na BONGO pengine UTANIKOSA SANA HAPA, LAKINI NIPO BONGO INGAWA SIPO BONGO

NITAKIE UZIMA BASI AU