Basi la Sumry sambamba na gari la mizigo
Pale maisha yanaomaanisha tunapambana kwa njia tofauti. Lakini kwanini tupambane na maisha wakati hatuishi ili kupambana?? Kwanini nitoe nafasi wakati hakuna anayenipa nafasi?? MAWAZO maisha SAFARINI....
August 23, 2010
MAISHA YAPO SAFARINI.......
Madhumuni
kumbukumbu,
maswali magumu
LITEMBO
Nilifika hapo nikiwa mdogo enzi zile za homa ya Pumu. Lakini amini nakwambia nilipona kwa dawa za Mitishamba, na kwa urahisi iliyochanganywa na Asali. Hakika nawashukuru madaktari enzi zile, lakini sasa sina dalili za kahoma hako. niko CADANGA kama Hugo Chavez pale Venezuela, yaani NGANGARI
Madhumuni
kumbukumbu,
maisha
ANGALIA BONGO- anuani imebadilika
Kwa wale wapenzi wa blog ya dada Saraphina Peter, bila shaka mnampata vema. Kwangu mimi namnyaka vizuri tuuuuu. Sasa ANUANI ya Blog hiyo imebadilika. Zamani ulijua kufungua HIVI lakini kwa taarifa hapo hutaipata.
ANUANI mpya ambayo unapaswa kuisopma Blog yako ya Angalia Bongo uipendayo, BASI unatakiwa kuisoma HIVI hapa ndipo ANUNUANI sahihi.
ANUANI mpya ambayo unapaswa kuisopma Blog yako ya Angalia Bongo uipendayo, BASI unatakiwa kuisoma HIVI hapa ndipo ANUNUANI sahihi.
Madhumuni
habari,
kumbukumbu
August 20, 2010
Viongozi wa TUCTA kugombea Urais 2015 na 2020?
James Oliver Robertson, alipata kuandika hivi; ‘msingi wa kutafuta maisha na furaha kunataka mtu abadilike na wale wasiofanya hivyo wanabakia watu wa kusikitisha na kusikitikiwa,kuchekwa na kubezwa’(mwisho wa kunukuu).
Je usemi huu utatimia kwa uongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini? Tujiulize swali hilo huku tukitambua kuwa waraka wa mkuu wa utumishi wa umma namba 1 wa mwaka 2000 na kanuni ya 65(1) ya kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2003, watumishi wa umma hawaruhusiwi kufanya shughuli za siasa wakati wa saa za kazi na wakiwa kazini na kuajiriwa na chama cha siasa.
Isome Makala nzima, USIPITWE

Subscribe to:
Posts (Atom)