August 23, 2010

MAISHA YAPO SAFARINI.......

Basi la Sumry sambamba na gari la mizigo
Pale maisha yanaomaanisha tunapambana kwa njia tofauti. Lakini kwanini tupambane na maisha wakati hatuishi ili kupambana?? Kwanini nitoe nafasi wakati hakuna anayenipa nafasi?? MAWAZO maisha SAFARINI....

LITEMBO

Nilifika hapo nikiwa mdogo enzi zile za homa ya Pumu. Lakini amini nakwambia nilipona kwa dawa za Mitishamba, na kwa urahisi iliyochanganywa na Asali. Hakika nawashukuru madaktari enzi zile, lakini sasa sina dalili za kahoma hako. niko CADANGA kama Hugo Chavez pale Venezuela, yaani NGANGARI

ANGALIA BONGO- anuani imebadilika

Kwa wale wapenzi wa blog ya dada Saraphina Peter, bila shaka mnampata vema. Kwangu mimi namnyaka vizuri tuuuuu. Sasa ANUANI ya Blog hiyo imebadilika. Zamani ulijua kufungua HIVI lakini kwa taarifa hapo hutaipata.
ANUANI mpya ambayo unapaswa kuisopma Blog yako ya Angalia Bongo uipendayo, BASI unatakiwa kuisoma HIVI hapa ndipo ANUNUANI sahihi.