Jamani hili jambo nalifuatilia sana. Na huyu bwana ananifanya wakati mwingine akili iweke kando blogu kwa muda. Pamoja na harakati hizi ninazofanya katika kujikusanyia hata kaelimu ka labda kuwa nitaweza kumpiga mzinga Da Subi au Mtakatifu Kitururu, nimekuwa nikijihusisha sana na suala la lugha ya kiswahili kutokana na maandiko yako mbalimbali.
Basi nimejikuta nifahamiana kidogo na huyu kiumbe hapo pichani anaitwa JASON TAFFS. Huyu ni Rais wa Kiswahili Society pale London katika chuo cha SOAS, na kwa kiasi fulani anajituma kuwakusanya waungumzaji wa kiswahili kutoka eneo la afrika mashariki pale London. Tayari mkongwe Freddy Macta yuko ndani ya nyumba......... na ujiandae kusoma mahojiano yangu na mzee huyu.
Huyu kijana, tuombe mungu anaweza kuwasili maana wenzake wapo huko Lamu- Kenya ni katika jitihada hizi za kukienzi Kiswahili....
Kiswahili oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mungu akijalia najiandaa kufanya naye mahojiano ikishindana basi tena..... shingo pembeni kma nimenyima chakula na Mama Mchungaji Koero binti Mkundi.
Jason Taffs unaweza kutembelea habari zaidi juu ya mradi huo hapa: MSWA+NGU= MSWAHILI MZUNGU
November 13, 2010
MSWA+NGU= MSWAHILI MZUNGU
Madhumuni
habari
November 12, 2010
HAMJAMBO WAUNGWANA
Ningeweza kusema mengi, lakini kwa hakika nimekabiliwa na masuala nyeti sana. Najua kuwa blogu yangu nayo ni laiki yangu kuifanya nyeti. Lakini naamini nikikamilisha haya, na nikiwa porofesa au dakitari wa bin tabibu wa falisafa a.k.a mwanafalisafani, haki na nani nitakuwa mwenyekiti wa kijijini kwetuuuuuu!
Waungwana nawasabahi sana, namshukuru rafiki yangu kwa knitumia hii kitu, nami nawaambia ninyi. MANI IWE NAYI DAIMA
Waungwana nawasabahi sana, namshukuru rafiki yangu kwa knitumia hii kitu, nami nawaambia ninyi. MANI IWE NAYI DAIMA
Madhumuni
kumbukumbu
Subscribe to:
Posts (Atom)

