Niliwahi kuahidi kuwa nitaweka mahojiano yangu na mzee wangu kipenzi Freddy Macha. Nilisema hilo kutokana na kuwepo kwa mradi wa Kiswahili Society ambao kwa kweli ulinivutia na kuomba uanachama wake. Nashukuru rais wa mradi hakusita kuwasiliana nami.
Hebu nenda hapa USOME ZAIDI
Bado nina matumaini pia ya kuzungumza na rais wa mradi huo bwana Jason Taffs, inshallah mungu akijalia.
