Ningelichagua neno jema, basi lingekuwa AMANI IWE NANYI. Kama ningelichagua neno baya basi ni WEWE MWANABLOGU UKIUGUA SIKU HIYO. Nawatakia mafanikio zaidi na Imani yangu iwe nanyi.
TULIPOKWARUZANA tuseme kwa pamoja. UPENDO ni jambo muhimu sana.
nakuambia neno hili la sikukuu. MIMI NINAHITAJI SANA UWEPO WAKO WEWE MWANABLOGU. BILA WEWE NISINGELIKUWEPO HAPA KUBLOGU.
