15 April 2011

HODI ARUSHA! HODI LOLIONDO

Wapi baada ya kanda ya ziwa hadi Liparamba? Ni upande upi sasa kama siyo kaskazini. Wapi basi Hodi hapo Arusha, na hodi kule Loliondo. Naamini mtanipokea sana kwani mie mdadidi kweli kama yule dada Kapulya kule Sweden...
Hodi haki ya mungu Hodi Arusha, Hadi,Loliondo,Serengeti na kwingineko. Hodi jamani wenyeji. Koero niazime gari maana hii gairi yangu model ya TWO LIMBS inamaudhi sana. inachosha pale rejeta ikijamu. Hodi Arusha na huko Samunge kwa Babu Loliondo. safari hadi kwa bibi Koero... kuzifuata nasaha zake.
Hodi hukooooo wenyeji!!!! nipo njiani NAJA.

2 comments:

Andika maoni yako