January 27, 2011

WADAU WA KISWAHILI SOCIETY

 Na wanajua utamu wa lugha ya Kiswahili ndiyo maana wanajikita katika kujua na kuhitaji sura mpya ya jamii. Ni katika kujua tamaduni,lugha,mila na desturi za Kiswahili. Picha ya ya juu ni wadau wa SOAS(School of Oriental and African Studies) pale London. Katika picha hiyo walikuwa Zanzibar. Na picha ya chini ni katika kuifurahia ile ladha ya kiswahili, na jumuiya yenyewe. Kswahili lugha tamu.
PICHA; kwa hisani ya SOAS.

January 24, 2011

KUFIKIRIA KULA UGALI NA HARUFU YA SAMAKI!!

Yasinta naye kwa mitego,
Yasinta kwa mapozi yupo,
Yasinta kwa faraja yupo,
Yasinta kwa malezi wamo,
Yasinta kwa miondoko, ipo,
aaah!! rafiki yangu nawe umo,
Na kwakuwa umo, basi nao wamo,
Ngoja, katika kufikiria kula ugali na harufu ya samaki Mbasa! Lol!
Shukrani kwa picha Blogu ya  MAISHA NA MAFANIKIO pamoja na VANGONI