05 January 2013

NYASA SHOPPING CENTER-CHIMALA, MBEYA
Nyasa Shopping Center iliyoko Chimala jijini Mbeya, inawatangazia punguzo la bei kwa bidhaa zake katika msimu wa sikukuu. Pata vitenge, Kanga, Mayai, na aina zote za Vikoi, Reflector, Urembo, na Vinywaji visivyo na kilevi vya aina zote, Jezi origino za vilabu mbalimbali vya  TP Mazembe, Yanga, Simba, FC Lupopo, Esperance, Azam, Kaizer Chiefs, Amazulu, Orlando Pirates, Moroka Swallows, na Man United, Barcelona, Juventus, Madrid, Napoli, Bayern Munich, Inter &AC Milan.

Kwa mawasiliano: 0753 449254 na 0658 542477.

No comments:

Post a Comment

Andika maoni yako