15 May 2013

BIRTHDAY COLLECTION. MEI 15 NDIPO NILIPOZALIWA KIJIJINI KWETU LUNDU.

Hapa nikiwa na rafiki zangu tuliosoma darasa moja META HIGH SCHOOL kidato cha tano na sita.

Hapa, ndipo nilipozaliwa mimi kwa baba na mama yangu wapendwa. Pamenilea hapa, napaheshimu sana. Mungu atujalie afya njema zaidi.

Nilipokuwa natafuta elimu fulani ya Chuoni. Hapa nilikuwa UDSM-DUCE, ni kumbukumbu nzuri maishani wmangu leo nikiadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.

Hapa ni shule ya msingi Lundu. Ndipo niliposoma. Asante wazazi kwa malenzi waliyonipa.
Katika kusikilizia dunia.Marafiki wakiwa nami ...amani tosha

mwendo wa kusaidiana kufurahia siku.

Nisikilize binti J. mie mtoto leo. lol

Naja kwa makeke na vurugu za kinyasa

Ubarikiwe na asante binti J.

3 comments:

 1. Duh! Siku ya leo mizunguko imenizidia...bdo baona muda huu . HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA NI SIKY MIHIMU SANA KATIKA MAISHA. MUNGU AWABARIKI WAZAZI KWA KUKUPA MAKEZI ULIYO akujalie yore utakayo kufanta yawe mazuri u A

  ReplyDelete
 2. Anonymous18 May, 2013

  Іt's great that you'νe takеn the hard wοrκ tо
  aіd thoѕe out thеre who are lοoking fοr гesources οn thіs area.

  Your serіous dedication to getting the ansωer out there appears to
  bе quіte beneficial аnԁ has permitted
  studеnts much liκe mе to come to their objectives.

  Your amazing hеlp and aԁѵice will
  mеan a grеat deal to me and muсh mοre to my
  pеerѕ.

  Heгe is my web page ... Pohai

  ReplyDelete
 3. Asante sana Dada Yasinta. nashukuru mungu siku yangu ilikwenda vema na mungu alinilinda na kuniongezea uzima. nashukuru zaidi na tuko zaidi ya pamoja.

  ReplyDelete

Andika maoni yako