02 June 2013

WANYASA; MIMI NA KOMREDI HOOPS KAMANGA

Tumekutana Wanyasa, tunajadiliana mambo ya msingi kuhusu maendeleo. Ni nchi, mkoa, wilaya na kadhalika.

Hoops Kamanga akiwa ametulia na kutafakari jambo

Kila mmoja anafikiri zaidi

Tunaendelea na somo.

Tumemaliza kujenga kambi yetu, sasa tunasubiria mavuno.

No comments:

Post a Comment

Andika maoni yako