tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post2244042495435204262..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: MARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-48770287035668373902008-10-15T20:03:00.000+03:002008-10-15T20:03:00.000+03:00acha mambo ya kufanana na huyo we njoo tu ujionee ...acha mambo ya kufanana na huyo we njoo tu ujionee mambo ya kinyasa yaani swadakta. samahani wewe na kaka Simoni walevi tafadhali mkija msilewe tutawafanya kama RENAMO walivyokuwa wakifanya enzi zileeee. yaani wanakuuliza unataka kununa au kucheka? kununa wakakufunga na kufuli, kucheka wakata lips zote meno nje nje ha ha ha ha ha ha haMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-588804621711914142008-10-15T01:32:00.000+03:002008-10-15T01:32:00.000+03:00mmh sijaolewa kwa hiyo itakuwa safi kula ngorokoro...mmh sijaolewa kwa hiyo itakuwa safi kula ngorokoro kila siku na kufanana naye itakuwa kaliYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-58243651820847445752008-10-14T18:58:00.000+03:002008-10-14T18:58:00.000+03:00acha kutamani dadangu we njoo tu nyasa uone mambo ...acha kutamani dadangu we njoo tu nyasa uone mambo lakini angalia kama una mume huku unaweza kumsahau kabisa yaani mambo swadaktaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-87344776954235753392008-10-12T19:24:00.000+03:002008-10-12T19:24:00.000+03:00huyo samaki ngorokoro nikila nakuwa na madoa kama ...huyo samaki ngorokoro nikila nakuwa na madoa kama yeyeYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com