tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post2310933824978443122..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: Wanyasa+Mapenzi+Upendo n.kMARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-68027708830109345452008-04-06T17:52:00.000+03:002008-04-06T17:52:00.000+03:00Kuna jambo ambalo naona dadangu analimaanisha kwan...Kuna jambo ambalo naona dadangu analimaanisha kwani kweli ukiwaona wanaume wakiwa na wake zao halafu ukiwatazama katika mambo yanayowahusu wao pekee kama soka utashangaa kuona upendo walionao hakika ni hadithi nzuri.Je wanaume wamepeleka wapi mapenzi kwa wake zao au upendo wao?tuusake sasaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-20282914484779653832008-04-05T20:30:00.000+03:002008-04-05T20:30:00.000+03:00nakubaliana na huyu dada na umwambie hiyo yote yap...nakubaliana na huyu dada na umwambie hiyo yote yapasa kuwa mvumilivu hivyo ndivyo wanaume wote walivyo. Ndiyo najua sisi wanawake hatuna kitu ambacho tunaweza kusema leo ni lazima nifanye nina maana kuwa nje ya nyumba peke yako hii ni mara chache sana. Sana sana labda kwenda shoping yaani kununua nguo zangu au za watoto. Lakini sio mara zote kwani mume yeye lazima aangalie mpira.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com