tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post323006247572284117..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: NIKUPE NINI?MARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-27850548331753768912010-07-21T13:09:30.222+03:002010-07-21T13:09:30.222+03:00Nawashukuru nyooooteeeeee.
@Kaluse; kumtembelea s...Nawashukuru nyooooteeeeee.
@Kaluse; kumtembelea siyo jambo gumu ni maamuzi tu. Nikunong'oneze. Unajua kisa ya safari yake ya pili kurejea bongo hadi ruhuwiko????? ha ha ha ndiyo hayo nasema muwe mnauliza! Lol ha ha ha MCHARUKO huooooooo.

ANON @julai 21. ama kweli wivu humuua mtu mjinga. IWEJE UMPENDE MUNGU USIYEMUONA, NA UMCHUKIE BINADAMU UNAYEMUONA???? Mcharuko.
Nakupongeza wewe ANON kwa mawazo yako mazuri ILA nakushauri uwe unaisoma hii blog toka ilivyoanza 2007 agosti utakuta habari nyingi za Yasinta rafiki yangu. kwahiyo sijui utasemaje.
WAZO TU, nadhani hujui kuwa huyu ni between the line...... ile ya MEI 15 mwaka huu na jiko, soma hapo chini kwenye blogu hii. uwe unauliza Lol......... na kama NAMTAKA WEWE INAKUHUSUJE??? Lol ha ha aha ha ha ha ha ha ha ha haMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-10765168101866764782010-07-21T09:34:26.049+03:002010-07-21T09:34:26.049+03:00huyo anakutaka yasinta anashindwa kusema ndio anaa...huyo anakutaka yasinta anashindwa kusema ndio anaanzia mbaliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-67130402515628154522010-07-18T08:40:51.922+03:002010-07-18T08:40:51.922+03:00Pia kumtembelea rafiki huyo ni jambo jema litakalo...Pia kumtembelea rafiki huyo ni jambo jema litakaloimarisha urafiki wenu....LOLAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-23511318648016332512010-07-17T17:21:45.799+03:002010-07-17T17:21:45.799+03:00kwanza nasema ahsante sana. Pili nasema huhitaji k...kwanza nasema ahsante sana. Pili nasema huhitaji kunipa kitu unachohitaji kusema kwangu ni AHSANTE TU!!Kwani leo umenikumbuka hii ni zawadi nzuri nami nasema ahsante sana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-25746528369034442112010-07-17T14:16:54.475+03:002010-07-17T14:16:54.475+03:00na kumpa kila akitakacho ati...lol!na kumpa kila akitakacho ati...lol!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-71790922293958084442010-07-17T09:37:08.123+03:002010-07-17T09:37:08.123+03:00Zawadi kubwa unayoweza kumpa rafiki ni kumkumbuka ...Zawadi kubwa unayoweza kumpa rafiki ni kumkumbuka katika sala zako.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com