tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post3417602127177286766..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: Ile Nafasi Ya Kazi Imepata Mwenyewe..MARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-79183730100052292852008-06-22T16:50:00.000+03:002008-06-22T16:50:00.000+03:00Asntekwa pongezi nampelekea wala usikonde.Hapa nil...Asntekwa pongezi nampelekea wala usikonde.Hapa nilikuwa nawasiliana naye,lakini kidogo alipata homa hata hivyo mudamfupi ujao atakuwa kazini kwani nimemuamini sana na anapenda kazi yakeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-44497351413229204682008-06-13T19:48:00.000+03:002008-06-13T19:48:00.000+03:00Eeh jamani dada huyo ana bahati kwenda kufanya kaz...Eeh jamani dada huyo ana bahati kwenda kufanya kazi nyasa. Mimi ndo kwanza nilikuwa mbioni kutuma maombi yangu kweli chelewa chelewa .....kama waswahili wasemavyo. Basi bwana hii ndo dunia kwa hiyo nitakuwa macho hapo maombi mengine yatakapotoka. Hongera sana dada yangu. Pia nakutakia kazi njema sana.Anonymousnoreply@blogger.com