tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post3508185989661665023..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: maswali magumuMARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger16125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-182660809013668962008-10-28T20:05:00.000+03:002008-10-28T20:05:00.000+03:00ebo! JAMANI NIITEJE SASA. kumbe mnapenda vyeo hata...ebo! JAMANI NIITEJE SASA. kumbe mnapenda vyeo hata ambavyo hawezi kuvikwa navyo? mtakufa mnajitazama na hao wafadhili wenu wa ughaibuniMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-56459656179003828042008-10-23T15:52:00.000+03:002008-10-23T15:52:00.000+03:00nilidhani huyo alikuwa dada yako? kumbe ni mama ya...nilidhani huyo alikuwa dada yako? kumbe ni mama yako sasa jamani ha ha hahaaaaaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-63299480192134763042008-10-22T20:18:00.000+03:002008-10-22T20:18:00.000+03:00haya mama umeshindahaya mama umeshindaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-34750597330144382572008-10-15T21:07:00.000+03:002008-10-15T21:07:00.000+03:00mr ebo namsikiliza sana tumr ebo namsikiliza sana tuYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-9414647288233332902008-10-15T20:12:00.000+03:002008-10-15T20:12:00.000+03:00hola hiyo kwani vipi hujaona mamantile wa kizungu?...hola hiyo kwani vipi hujaona mamantile wa kizungu? nyoka kupaka wanja je? bado? we bado mudogo mudogo sanaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-38579423812926493222008-10-14T21:22:00.000+03:002008-10-14T21:22:00.000+03:00ooh kumbe ulikuwa wewe wenye blog sasa nimekukamat...ooh kumbe ulikuwa wewe wenye blog sasa nimekukamataAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-74410562321696276122008-10-14T19:03:00.000+03:002008-10-14T19:03:00.000+03:00kwanini unahukumu hivyo kwa kipimo usichokijua? na...kwanini unahukumu hivyo kwa kipimo usichokijua? nami nikuhukumu kwa hilo?MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-8544762521541016322008-10-11T20:37:00.000+03:002008-10-11T20:37:00.000+03:00Oh samahani sana naona umekasiika kama hivyo sitat...Oh samahani sana naona umekasiika kama hivyo sitatoa tena maoni.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-20253705422855454092008-10-11T16:59:00.000+03:002008-10-11T16:59:00.000+03:00hujaelewa nini wewe wakati jibu umekwisha kupewa n...hujaelewa nini wewe wakati jibu umekwisha kupewa na mhusika? soma tena na tena na tenaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-63617531453937390852008-10-09T18:46:00.000+03:002008-10-09T18:46:00.000+03:00sijakuelewasijakuelewaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-71111878633700776532008-10-09T18:08:00.000+03:002008-10-09T18:08:00.000+03:00sawa bwana asiyejulikana lakini nikwambie nashkuru...sawa bwana asiyejulikana lakini nikwambie nashkuru kwa maoni yako. Nitakujibu hivi JE UNAWEZA KULIZIBA JUA KWA BAKULI? naona umenisoma sasa. kwamba jawabu ni la kifalsafa.MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-50175836501582327002008-10-09T14:48:00.000+03:002008-10-09T14:48:00.000+03:00Markus huyu Yasinta Ngonyani mbona unamwandika san...Markus huyu Yasinta Ngonyani mbona unamwandika sana ktk blog yako? mara umwombe msamaha, sasa unasema ni mdadisi sana inaonekana unamfahamu sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-36900139606911747922008-10-09T11:51:00.000+03:002008-10-09T11:51:00.000+03:00Huyu Yasinta Ngonyani ni dadako kweli au vipi na n...Huyu Yasinta Ngonyani ni dadako kweli au vipi na ni maswali gani hayo anayokuuliza mpaka usipojibu inakuwa taabu. Na kuhusu haw wajomba zako si unawaona kwa hiyo lazima utajua kama wapo kama mamayao.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-67641697136141574032008-10-08T20:13:00.000+03:002008-10-08T20:13:00.000+03:00naona safi tu. Lakini kaka Simon Dada Yasinta ni k...naona safi tu. Lakini kaka Simon Dada Yasinta ni kiboko kama Sacrotes yule mwanafalsafa wa ugiriki aliyewasha kurunzi/tochi mchana huku jua likiwaka tena likuwa sokono halafu watu wakamwambia mzee kulikoni? wakadhani mjinga kumbe jamaa alikuwa katika utafiti kwamba wapo watu waliopo gizani. unajua niliamua kuandika baada ya kusoma tena kisa chake na kwavile nawaliana naye kila siku nikaona nimchokoze tena. Maswli ni mazuri na naamini ndivyo alivyo na mimi napenda hivyo lakini kuna watu ukiwadadisi tu wanasema udaku yaani bongo sijui tupoje jamani sikutkani ila nasema kweli. Bravo Yasinta Ngonyani endeleza fani bila hivyo hatuwezi kujua mambo/jamboMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-21490596492203812252008-10-08T19:57:00.000+03:002008-10-08T19:57:00.000+03:00nakubali mimi ni mimi hivyo ndivyo nilivyo na nime...nakubali mimi ni mimi hivyo ndivyo nilivyo na nimezaliwa hivyo. Nategemea kupunguza kidogo ili marafiki wasinikimbie kwani napenda sana vyote kwa hiyo hapa iko kazi kweli udadisi au marafiki.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-88937768088595851842008-10-08T19:37:00.000+03:002008-10-08T19:37:00.000+03:00Maswali kitu kizuri ingawa siku nyingine unaweza k...Maswali kitu kizuri ingawa siku nyingine unaweza kujikuta hutaki kujua jibu.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com