tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post4153138119953622767..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: JE UNASADIKI KUNA UCHAWI?MARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-73819146162233384952009-10-19T00:34:52.954+03:002009-10-19T00:34:52.954+03:00Jamaa hendisamu na anamitalenti lukuki halafu eti...Jamaa hendisamu na anamitalenti lukuki halafu eti kwenye movie za kibongo hayupo!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-8456380575470738012009-10-14T21:10:26.678+03:002009-10-14T21:10:26.678+03:00Ndugu Mwaipopo, shukrani kwa kunibonyeza hayo. Nas...Ndugu Mwaipopo, shukrani kwa kunibonyeza hayo. Nashawishika kupiga mehesabu upya :-)Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-72490108104783544802009-10-04T17:51:36.977+03:002009-10-04T17:51:36.977+03:00Prof mbele lakini hii ni ya kutengeneza. wanawalip...Prof mbele lakini hii ni ya kutengeneza. wanawalipa pesa kidogo wanawatrain on how to pose, wanawaambia wasitamke neno lolote, waact kama wehu na kadhalikaJohn Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-17642603109675309962009-10-03T21:18:37.630+03:002009-10-03T21:18:37.630+03:00Jamaa alivyokodoa macho kwenye hiyo picha ni chang...Jamaa alivyokodoa macho kwenye hiyo picha ni changamoto tosha ya kunifanya nisadiki kuna uchawi :-)Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-82726780048866588442009-09-30T14:31:34.655+03:002009-09-30T14:31:34.655+03:00Naanza na story ya hoyo picha. huo ulikuwa UWONGO....Naanza na story ya hoyo picha. huo ulikuwa UWONGO. niwiwa na mawazo kuwa pengine hi ilikuwa deal ya kuvutia waumini wengi zaidi kuwa kanisa la mama yetu lina upako. si kweli kabisa. haina tofauti na yule bibi harusi mtarajiwa aliyekamatwa tabata kumbe alikuwa kaandaliwa na mmiliki wa kanisa kuuonyesha uma kanisa 'lake' limesheheni UPAKO. hamna lolote ni upuuzi tu. watu wengi siku hizi wamekata tamaa ya maisha kwa namna anuai. hivyo wanatafuta ufumbuzi wa maisha yao. sasa yanapotokeza makanisa ya 'upako' (sina uhakika upako wa MUNGU au wa MIUNGU)watu waliopoteza matumaini wanamiminika huko wakiwa na matumaini ya kutatua matatizo yao.<br /><br />Kwenye hoja ya msingi sasa. uchawi upo. halafu uchawi sio kitu kibaya. uchawi ni kama aina fulani ya madawa ambayo yakitumiwa vyema huponya, yakitumiwa vibaya huua. uchawi ulikuwa kwa madhumuni na kurekebisha tabia katika jamii. ulitumika katika kuonya ama kutoa adhabu kwa mtu aliyepogoka katika msari wa maadili ya jamii husika. siku hizi wameutumia vibaya kama ambavyo dawa ukizitumia vibaya zaweza kuleta kizungumkuti katika jamii. nasikia hata baadhi ya madaya ya kulevya yana vipimo mahsusi kwa wagonjwa fulani fulani. lakini tunaona jinsi gani wanaotumia vibaya wanavyoadhirika mitaani. huu ni mfano tu.<br /><br />katika jamii za leo ndugu wa sumbawanga bado wanamatumizi mazuri ya uchawi. ukienda kwao uliza taratibu zao na ukizifuata utaishi miaka tisini na kenda. ukipora mke wa mtu utakiona, ukiiba mahindi ya mtu utakiona, ukijimegea shamba la mtu utakiona. usipofanya mabaya haya yote utaishi vema huko kwao. sehemu nyingine mathalani kwetu kyela (mbeya) uchawi unatumiwa vibaya. mtu anakuona tu umenunua shati jipya anakuweka mshipa. this is really a serious misuse of the natural gift that was for punishing and warning wrong doers.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-62248966527353461322009-09-26T09:50:00.453+03:002009-09-26T09:50:00.453+03:00Mie siamini haya mamba hata kama nimezaliwa sehemu...Mie siamini haya mamba hata kama nimezaliwa sehemu hizo:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com