tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post4164235827785941227..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: BIO CAMP, MOJAWAPO YA SEHEMU BORA YA KUOGELEA NYASAMARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-88899760296087327672013-06-25T12:47:19.502+03:002013-06-25T12:47:19.502+03:00Ndengele ni kijiji kilichopakana na Mbamba bay, un...Ndengele ni kijiji kilichopakana na Mbamba bay, unapoelekea Liuli baada ya kupita S/M MBAMBA BAY, Beach ya BIO CAMP ipo KM 6 toka Mjini Mbamba bay. Huduma zitolewazo ni nyingi; Malazi,Chakula, Kuogelea,Vinywaji baridi/moto n.k!.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/13929980394765665006noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-29729779826426121872013-06-24T19:28:01.961+03:002013-06-24T19:28:01.961+03:00Kazi nzuri. Mimi ni mmoja wale ambao hatuijui Nden...Kazi nzuri. Mimi ni mmoja wale ambao hatuijui Ndengele. Nimefika Mbambabay, Liuli, na Mango. Je, Ndengele iko karibu na Mbambabay au la? Na kama ni mbali, ni kwenye maili ngapi, na kuelekea upande upande upi?<br /><br />Vile vile, huduma za hapo bio camp ni zipi? Kuna vivutio vyovyote sehemu hii ya Ndengele au sehemu za karibuni? Taarifa za namna hii ni muhimu katika kutangaza utalii. Inabidi zijumlishwe katika tangazo kama hili.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.com