tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post4353883065228560913..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: kuvua dagaa usikuMARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-19412316211946759992008-11-27T20:10:00.000+03:002008-11-27T20:10:00.000+03:00@Markus: Huko lazima tuje tu angalau na togwa!:-)@Markus: Huko lazima tuje tu angalau na togwa!:-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-89195573950595797032008-11-19T12:26:00.000+03:002008-11-19T12:26:00.000+03:00Nikianza kujibu swali ni kuwa kama kuna kitu kitam...Nikianza kujibu swali ni kuwa kama kuna kitu kitamu kuliko Dagaa wa Nyasa basi ni "dagaa waliokomaa" (samaki). Ama mnaonaje? Lakini utamu wa dagaa na hata mboga ya aina yoyote vuategemea upishi. Mimi najitambua kuwa mtaalamu wa mapishi na ndio maana naweza kukupikia Mchicha ukanoga kama dagaa na dagaa waka-taste kama kisamvu. Lol<BR/> Ila habari ya uvuvi kwa hakika ni shughuli pevu na nasikitika kuwa pamoja na kuleta ladha na afya kwa jamii zetu, bado wavuvi wanaishi maisha ya chini na uwezeshwaji wa kazi zao ni mdogo sana.<BR/> Ni CHANGAMOTO YETU sisi tunapotafuna na kufurahia ladha ya dagaa kukumbuka yale wanayopitia wavuvi usiku kucha kuhatarisha maisha yao kwa ajili ya "minyoo" yetu. Kama hatuna cha kuwa, basi TUWAOMBEE SALAMA huko wafanyapo kazi.<BR/> Tuonane "next ijayo"Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-46754821114564562382008-11-18T20:49:00.000+03:002008-11-18T20:49:00.000+03:00yaani LITONGE linakuwa likuwa kubwa halafu unateng...yaani LITONGE linakuwa likuwa kubwa halafu unatengeneza kama kisima pale katikati na kuteka mchuzi weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpka akili inasema uko wapi kaka SIMON KITURURU mzee wa MAWAZONI raha hii jamani huku nyasa. mm najua napenda sana BIA ha ha ha ha MZEE WA CHANGAMOTO karibu sana nyasa tena sanaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-47286812091031562662008-11-18T01:07:00.000+03:002008-11-18T01:07:00.000+03:00Eeh, bwana we usinikumbushe na usiniambie yaani ha...Eeh, bwana we usinikumbushe na usiniambie yaani hao dagaa wakisha fika nyumbani halafu wanatengenezwa unawapanga kwenye chungu au sufuria na wanaiva polepole(lighanda) rafiki yangu hapo lazima ugali uwe mkubwa sana la sivyo itakuwa vita. Nyasa bwana raha sana GWALI NA SIPA kazi kweli kweliYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com