tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post5982114400125910295..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: 'BAY LIVE SOCIAL HALL' NA MASWALI KIBAO KWA WANYASAMARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-83169142059232440312014-03-06T06:56:53.625+03:002014-03-06T06:56:53.625+03:00Hakika hii imenisononesha kusema ule ukweli. Hata ...Hakika hii imenisononesha kusema ule ukweli. Hata hivyo sishangai kwani hii ni kama tabia sugu ya ndugu zangu wa kinyasa. Hata hivyo unaposema wanyasa unapaswa kuelewa kuwa kuna aina mbili yaani hao wa wilaya ya Nyasa na wale ambao ni wanyasa lakini walizaliwa na kukulia mikoa mingine kutokna na kukimbia utawala wa kiimla huko Malawi. Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com