tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post654416061707417364..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: "HAPPY BIRTHDAY MARKUS"MARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-79286476489899375472009-05-19T17:33:00.000+03:002009-05-19T17:33:00.000+03:00ni jambo la kumshukuru mungu kuona siku zako za ku...ni jambo la kumshukuru mungu kuona siku zako za kuwepo katika sura hii ya dunia.

Nakutakia kila la kheri katika kuadhimisha siku yako ya kuzawaliwa.Endelea kutumia muda wako katika kufanya mabadiliko chanya katika dunia yetu na kufanya mahala bora na pa usawa.

tutafika tu Markus..Happy birthdayEDWIN NDAKI (EDO)https://www.blogger.com/profile/03807483223004414776noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-13309596834163218182009-05-16T08:31:00.000+03:002009-05-16T08:31:00.000+03:00HAPPY bIRTHDAY!HAPPY bIRTHDAY!Evarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-9414483684761488972009-05-15T22:36:00.000+03:002009-05-15T22:36:00.000+03:00Heri ya siku ya kuzaliwa,tunakutakia maisha marefu...Heri ya siku ya kuzaliwa,tunakutakia maisha marefu.Mungu akubariki sana!!!!!!!Enjoy your day.Mankanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-82089592458573863492009-05-15T17:26:00.000+03:002009-05-15T17:26:00.000+03:00Happy birthday bro!
Big up sana...kama umri wako ...Happy birthday bro!

Big up sana...kama umri wako unavyoongezeka basi upana wa akili na upeo wako uongezeke pia.!

Enjoy your day.Dignahttp://www.behavefree.blogspot.com/Dignanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-61015632728780071882009-05-15T16:38:00.000+03:002009-05-15T16:38:00.000+03:00Heri siku ya kuzaliwa,
Yaonesha sasa umekuwa,
Sala...Heri siku ya kuzaliwa,
Yaonesha sasa umekuwa,
Salaam hizi watumiwa,
Kwani mema twakutakia.

Kazana tena heri kukimbia,
Tulipo mwisho hatujafikia,
Hadi siku itayowadia,
Ambayo Mungu ataamua.

Heri heri kaka nakuombea,
Ila zawadi mi sijanunua,
Kwani Yasinta hakunambia,
Imekuwa vigumu kujua.

Long live boy!Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-28689467931747490832009-05-15T15:56:00.000+03:002009-05-15T15:56:00.000+03:00Nami nakutakia siku njema. Lakini hujasema una mia...Nami nakutakia siku njema. Lakini hujasema una miaka mingapi:-(

Koto kulya somba za mahele yatiubungula mahi. mwenga ha ha ahaaaaaYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-58605364534663218412009-05-15T13:30:00.000+03:002009-05-15T13:30:00.000+03:00Kaka. AMANI KWAKO. Nakutakia siku njema ya kukumbu...Kaka. AMANI KWAKO. Nakutakia siku njema ya kukumbuka ulivyoambiwa kuwa ulizaliwa (maana najua huikumbuki siku hiyo. Lol) na pia nakutakia maisha marefu mpaka pale ambapo yataanza kuwa mateso, then uamue la kufanya.
Unaombewa Daima na popote ulipo, USIPOTEE SANAAAAA. Ama uko shamba kama mie?
Blessings to you and HAPPY BIRTHDATEMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com