tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post6570618653263027150..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: HAPO NDIPO PENYE AKILI,HEKIMA?MARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-14346560722812723202010-05-26T10:12:27.934+03:002010-05-26T10:12:27.934+03:00mmh sijui mwisho wa mambo yote haya ni nini!!!mmh sijui mwisho wa mambo yote haya ni nini!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-54565940241598940992010-05-25T15:51:59.929+03:002010-05-25T15:51:59.929+03:00hakika hapo ndipo penye hekima, panahitaji tafakur...hakika hapo ndipo penye hekima, panahitaji tafakuri ya kumakinikia haswa,...<br /><br />mjadala na uendelee....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-60201199221702442612010-05-24T21:58:32.272+03:002010-05-24T21:58:32.272+03:00Mtani, haya mambo wanayachukulia kuwa wako karibu ...Mtani, haya mambo wanayachukulia kuwa wako karibu sana na mungu kuliko mungu mwenyewe na wenzao. Watu wandhani kusoma mstari wa imani ya dini ni kujua yale yaliyosababisha dini hizo. Kiabaya zaidi ni kwamba wanasahau hata kujiuliza na ikibidi kumwauliza huyo Mungu. Mtani nakuhakikishia kila jumapili nitakuwa na kitengo cha kukosoa haya mambo. aaaaaaaaaayyyyyyyyaaaaa upo mtani wangu??<br /><br />@Da Yasinta wangu samaki na maji, upo? Unajua binadamu wana kawaida ya kujitisha, wanachukulia woga waliojiandalia na kutenda mambo kwa kujilazimisha au kuamini yanatamkwa na biblia. Anguko la kujitisha limekuwa kubwa, tunatakiwa kujiuliza sana na kukokotoa uhalisia wa tafakuri jadidi zetu. Upo Nangonyani wengaaaaa.MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-70639484332548461802010-05-24T19:12:48.883+03:002010-05-24T19:12:48.883+03:00Markus kweli wewe ni padiri maana kila nikisoma n...Markus kweli wewe ni padiri maana kila nikisoma naona kama nimeelewa nadhani ntafanya kama mtani itabidi niisome tena na tena!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-50321629306599496972010-05-24T06:58:38.039+03:002010-05-24T06:58:38.039+03:00Mtani umenifikirisha sana. Ntaisoma tena na tena h...Mtani umenifikirisha sana. Ntaisoma tena na tena hii posti.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com