tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post9149131559877523808..comments2024-02-26T14:09:43.956+03:00Comments on KARIBUNI NYASA: Ndesanjo Macha na Fred Macha Karibuni NyasaMARKUS MPANGALAhttp://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-18384986646755001872008-06-29T14:40:00.000+03:002008-06-29T14:40:00.000+03:00Kaka Mpangala,Nakuonea wivu sana ulivyosema leo ut...Kaka Mpangala,

Nakuonea wivu sana ulivyosema leo utaogelea kushinda bata, hiyo ndo raha ya kuwazaliwa ziwani.
Nikiwa home (Njombe) huwa nawaza lini niende ziwa Nyasa.
Tunahitaji picha nyingi sana kutoka ziwani naamini tunaweza kutangaza utalii pia kwani kanda za nyanda za juu kusini imesahaulika sana ingawa bado tuna nafasi ya kuitangaza na watu kama ninyi ndo mnashikilia mizizi kuhakikisha kizazi kipya kinatoa habari muhimu zinazohusu nyanda za juu kusini ulimwengu ujue.
Asante sana na nafarijika na kazi yako.

Lazarus Mbilinyi
Ontario - CanadaLazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-6951818964288046852008-06-29T13:23:00.000+03:002008-06-29T13:23:00.000+03:00Kaka Mbilinyi asante sana kwa maoni yako karibu te...Kaka Mbilinyi asante sana kwa maoni yako karibu tena mara nyingine.Unajua nilikuwa najiuliza hivi naburudisha au siwezi?Lakini sikuwahi kujua hilo toka Mwalimu wangu Ndesanjo aniambie Blogu siyo upepo wa kupita zingatia,sasa naelewa vyema hakuna kulala tunasonga kwa mwendo wa karatasi ama kinyonga.

Karubuni nyasa wote,asante kaka MbilinyiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-52016898984478007482008-06-29T06:23:00.000+03:002008-06-29T06:23:00.000+03:00Wewe Jirani,Nimefurahi sana kukupata leo maana nil...Wewe Jirani,

Nimefurahi sana kukupata leo maana nilikuwa sijui kama kuna kijiwe safi kama hiki ambacho kuna vitu vizuri na vinavyoendana na wakati kama hivi.
Ic yaani nikirudi Tanzania tu tuwasiliane ili niwe na vacation hapo Nyasa kwani I can't wait kula dagaa na ugali wa muhogo.

Kazi yako ni makini na naamini utatizimiza ndoto zako za kuwa mwanafalsafa, upo makini na unaburudisha sana.
Tuwasiliane

MbilinyiLazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5999048894050748822.post-52601394189374525152008-06-27T00:05:00.000+03:002008-06-27T00:05:00.000+03:00mhhhh kabla wa hao wazee wako hawajakujibu kama wa...mhhhh kabla wa hao wazee wako hawajakujibu kama watafika au vipi mimi nasema bila kukuribishwa nafika kwani ugali wa muhugo na dagaa....mtamu sana. Umesahau kuwa ambia pia mbufu, magege na pia mbasa. mie nilishasahau kama kuna samaki anaitwa vindongoYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com