Mimi nimejifunza kwamba hiyo ardhi ina opportunity kubwa sana kwenye kilimo kwa maana kwamba ikitumiwa vizuri basi mtu unaweza kustawisha mazao hasa mahindi kwa kiwango cha ajabu. Tatizo serikali yetu inaongea na kuchonga tu bila vitendo, umaskini tulionao hatustahili.
inawezekana ni ungonini na mwamume wa kingoni aliyeelimia anamsaidia mkewa kuokota kuni pia shamba nzuri la mahindi na matembele au
ReplyDeleteMimi nimejifunza kwamba hiyo ardhi ina opportunity kubwa sana kwenye kilimo kwa maana kwamba ikitumiwa vizuri basi mtu unaweza kustawisha mazao hasa mahindi kwa kiwango cha ajabu.
ReplyDeleteTatizo serikali yetu inaongea na kuchonga tu bila vitendo, umaskini tulionao hatustahili.