KARIBUNI NYASA

May 05, 2018

TAARIFA MUHIMU: TUMESITISHA KUWEKA TAARIFA MPYA ZA NYASA

›
MARKUS MPANGALA SALAAM nyi wasomaji wetu wapendwa!  Ni matumaini yetu nyote mna afya njema na Mwenyezi Mungu amewajalia hilo bila hi...
1 comment:
March 26, 2018

MWONEKANO WA ZIWA NYASA KATIKA KIJIJI CHA MBAHA WILAYA YA NYASA

›

NGUZO ZA GATI LA BANDARI YA NDUMBI

›
1 comment:

AFISA MTENDAJI MPYA WA KIJIJI CHA LUNDU

›
Mara baada ya kustaafu kazi ya utendaji wa kijiji, bwana Remigius Nyenyembe maarufu kama Remmy au Fish, Kijiji chetu cha Lundu hakikupata m...

SIMBA, YANGA WANAIMBA KIMUNGU WANACHEZA KISHETANI.

›
Na. HONORIUS MPANGALA  Nilikuwa nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo April 4, 2015 siku ya pasaka. Kulikuwa na mchezo wa wa mtoano ku...

MIAKA 188 YA KIFO YENYE CHANGAMOTO ZA MAISHA NA MATUNDA YAKE YA HISABATI

›
NA KIZITO MPANGALA MACHI 21 ilikuwa ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa gwiji la hisabati, Joseph Fourier, kutoa nchini Ufaransa. Imetimi...
March 23, 2018

LAURA BASSI: PROFESA WA KWANZA MWANAMKE BARANI ULAYA.

›
Na Kizito Mpangala Wanawake wanayo nafasi ya kufikia malengo ambayo wanakusudia, ni kwa juhudi na maarifa wataweza kufikia malengo hayo. ...
March 22, 2018

MRADI WA MITI KIJIJI CHA LUNDU

›
Mradi wa shamba la Miti la kijiji cha Lundu linalomilikiwa na Kanisa Katoliki Parokia ya Lundu na kufadhiliwa na Mfuko wa Misitu Ta...

WODI ZA KULALA WAGONJWA ZA ZAHANATI YA MTAKATIFU RAPHAEL KIJIJI CHA LUNDU

›
 

CHANGAMAOTO YA WAKAZI WA MWAMBAO WA ZIWA NYASA NI BARABARA

›
March 21, 2018

JE, JAMII IMECHOKA KUISHI KWA MAFUNDISHO YANAYOTOLEWA KWA MIFANO?

›
Na KIZITO MPANGALA Mafundisho ni moja kati ya elimu ambayo haina mpinzani katika maisha yetu ya kila siku. Mafundisho hayo yapo kwa n...
March 19, 2018

UMUHIMU NA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA NYWILA (PASSWORD)

›
Na KIZITO MPANGALA Kila mmoja anatamani kuendeleza siri kubwa ya taarifa zake katika simu yake au tarakilishi (kompyuta) yake ili zisiju...
March 16, 2018

FURAHA, EASTERLIN PARADOX NA MARIANO ROJAS

›
NA EZEKIEL KAMWAGA   JANA, ripoti kuhusu utafiti wa kimataifa ulioonyesha kwamba nchi yetu ina hali mbaya kwenye kigezo cha furaha kwa...
March 12, 2018

KITABU KUHUSU CHINA

›
Nimemsoma Rais Wa Jamhuri ya watu wa China Mh. XI JINPING katika kitabu chake "THE GOVERNANCE OF CHINA" -Nilichojifunza nakubalia...

SASA MWATUGAWA KWA ITIKADI ZA KISIASA.

›
NA. HONORIUS MPANGALA   WAKATI aliyekuwa Rais wa awamu ya kwanza wa taifa hili la Tanzania alikuwa kiongozi aliyewaunganisha watangany...
March 07, 2018

KITABU KIPYA KUTOKA KWA MWANDISHI BEKA MFAUME

›

JOSEPH BOIMANDA: MTAJI WA MILIONI HAMSINI SERIKALI HAWANA MUDA WA KUKUFUATILIA

›
NA.HONORIUS MPANGALA MAISHA popote unaweza kusema hivyo kwani waliofikiria katika hoja hii walikuwa na sababu za msingi zilizokuwa na m...
1 comment:
March 05, 2018

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU BUSTANI YA MUNGU- HIFADHI YA KITULO.

›
1.Hifadhi ya Taifa Kitulo ndiyo eneo pekee Tanzania lenye ndege aina ya tandawala machaka (Denhams Bustard) wenye uwezo wa kuruka kutoka ba...
March 02, 2018

MO IBRAHIM,INUKA JIPUKUTE VUMBI UENDE

›
Na.Honorius Mpangala MABADILIKO ya bechi la ufundi katika klabu yoyote huja na matokeo chanya na hasi kulingana na mwenendo wa timu au ...

KUTOKA CHINA HADI CHUO CHA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT)

›
NA KIZITO MPANGALA DUNIANI kuna ubunifu wa namna mbalimbali unafanyika katika teknolojia ili kurahisisha shughuli mbalimbali katika mais...
March 01, 2018

NGOMA ZETU

›
MIAKA mingi enzi za babu zetu kulikuwa na ngoma maarufu iliyoitwa GEUZA. Hakukuwa na Ligambusa kama ilivyo sasa walisafiri kutoka Lundu kwe...

USHAURI KWA RAIS: NAKUOMBA KUBALI TUENDELEE KUCHANGISHANA

›
NA.HONORIUS MPANGALA KWANZA kabisa nianze na kukusalimia shikamoo mheshimiwa Rais wangu, Dk. John Pombe Magufuli. Najua hii kazi ni ngu...
February 28, 2018

RIWAYA YA NYASITIKI

›
Nyastiki ni kitabu cha Riwaya kinacho mzungumzia binti aliyefeli mtihani wa darasa la saba na baadae anarudi darasani kusoma. Nyastik...
›
Home
View web version
My photo
MARKUS MPANGALA
Lundu, Wilaya ya Nyasa, Mkoa Ruvuma, Tanzania
WASIFU: Mwandishi wa Habari,Tawasifu,Mhariri na Mchambuzi wa Vitabu,Siasa, Utamaduni, Michezo,Afrika, Kimataifa,Mshauri wa Habari na Mikakati. TUWASILIANE: mawazoni15@gmail.com, lundunyasa@yahoo.com. WHATSAPP; +255 719226293/SMS; +255 764 936655
View my complete profile
Powered by Blogger.