hivi kweli mungu alituumba waafrika kuwa majuha? soma hapa
www.raiamwema.co.tz katika safu ya fikra mbadala ya Mwanafalsafa Ayoub Rioba. Namwita Mwanafalsafa kwa vigezo vyangu kwani ni muumini wa fikra zake kama ilivyo kwa Jenerali Ulimwengu na wengine
mwaogopa nini kusema kama kweli mugu alituumba majuha kwani mambo yetu holela tu
ReplyDelete