Ziwa hilo lipo kwenye usawa wa meta 500 toka
usawa wa bahari ambapo kina cha ziwa hilo ni karibu meta 750,urefu wake ni
karibu kilometa 1000 , upana mkubwa ni kilometa 80 na upana mdogo ni kilometa 15.Kulingana
na utafiti ambao ulifanywa katika ziwa hilo na Jumuiya ya nchi zilizo Kusini
mwa Afrika(SADC) kwa kushirikiana na nchi ya Uingereza kati ya mwaka 1991 hadi
1994 na mwaka 1996 hadi 2000,ziwa hilo lina kiasi cha tani 165,000 za samaki.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako