KARIBUNI NYASA
December 11, 2017
SALAMU ZINGINE KUTOKA NYASA
Niko nyumbani kilikozikwa kitovu changu. Napigwa msasa kabla sijarudi mjini. Karibuni Nyasa
. Nawatakia kazi njema wasomaji wa blogu hii. Nawaahidi kuwaletea habari na picha mbalimbali kutoka mazingira ya hapa
Honorius Mpangala
Lundu, Nyasa
Desemba 10/2017
No comments:
Post a Comment
Maoni yako
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment
Maoni yako