February 24, 2008
SIMAMISHA.KILA KITU SOMA FALSAFA HII
"Elimu siyo shahada wala cheti,ni uwezo wa kuchambua,kufikiri kwa njia pana,kuwa mbunifu,kuuliza maswali,kuwa jasiri,kujiamini,kujua jinsi ya kujifunza zaidi,kupanga mambo vizuri,kupima,kuhoji,kuweza,kutatua matatizo ambayo hujawahi kukabiliana nayo".Vipi ndugu yangu Dada JANETI unaonaje hayo na ndugu yangu Dada SUZI pale chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere unaonaje hii.Simamisha kila kitu kwani usiposoma basi unafukuzwa katika ulimwengu huu au kusoma blogu hii{natania}.kazi kwenu wanazuoni hasa Ndesanjo
WASIFU: Mwandishi wa Habari,Tawasifu,Mhariri na Mchambuzi wa Vitabu,Siasa, Utamaduni, Michezo,Afrika, Kimataifa,Mshauri wa Habari na Mikakati. TUWASILIANE: mawazoni15@gmail.com, lundunyasa@yahoo.com. WHATSAPP; +255 719226293/SMS; +255 764 936655
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
habari kazi nzuri napenda sana blogu zako. yasinta sweden
ReplyDeleteasante dadangu,naamini utazidi kusoma blogu hii kwani ni matunda ya mwalimu wangu Ndesanjo Macha
ReplyDeletemarkus a.k. mnyasa
elimu ni kitu muhimu sana lakini isiwe chanzo cha kukat tamaa shauri ukikosa cheti anza sasa mapinduzi afrika yetu
ReplyDeleteWatu hudhani kila jambo linapatikana darasani kumbe kuna mengine yanapatikana nje ya darasa
ReplyDelete