KARIBUNI NYASA
September 13, 2008
wanyasa hamniamini......simwogopi Yasinta
Hebu nicheki, vazi nilipendalo la Taifa(jezi ya taifa), yaani kila kona mnanicheki mimi sijui nimewavutia kwa hilo pozi kwani hapo ni mapumziko ya mchana wa leo. mazoezi ni katika jua kali pumzi mithiri ya mamba/ling'wina
1 comment:
Yasinta Ngonyani
13 September, 2008
jamani wivu mzuri angalieni na yeye mpaka kanunua T-shirt kama sisi. mmh kazi kweli
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Maoni yako
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
jamani wivu mzuri angalieni na yeye mpaka kanunua T-shirt kama sisi. mmh kazi kweli
ReplyDelete